Wakenya watuma salamu kuhusu Mswada wa Fedha Mushenee


Kinyume na siku za awali za kusomwa kwa makadirio ya bajeti, hii leo baadhi ya wakenya waliamua kuwafikishia ujumbe wabunge na viongozi wakuu, akiwemo rais kupitia mitandaoni na kwenye simu zao za rununu. Kupitia nambari za viongozi ambazo zilisambazwa kwenye mitandano ya kijamii, wananchi waliwashinikiza viongozi kupinga mswada wa fedha mwaka 2024 unaotarajiwa kujadiliwa wiki ijayo.

source



from Mushenee – My Blog https://ift.tt/NLre93S
via IFTTT

Post a Comment

0 Comments